
Azam kutesti mitambo ya CAF mapemaa
KIKOSI cha Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Azam FC kipo Kigali, Rwanda kwa ajili ya kambi ya maandalizi ya msimu mpya wa 2025-2026 na kuanzia Jumanne ijayo itakuwa na kazi moja ya kutesti mitambo kwa ajili ya mechi za kimataifa. Mabingwa hao wa zamani wa Ligi Kuu Bara 2013-2014, ilianza…