
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA 45 WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA SADC
…………… Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa…