
Vigogo Ulaya, Zelensky uso kwa uso na Trump Jumatatu
Dar es Salaam. Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema anapanga kukutana na Rais wa Marekani, Donald Trump mjini Washington kesho Jumatatu baada ya mkutano wa kiongozi huyo wa Marekani na mwenzake wa Russia, Vladimir Putin huko Alaska. Hata hivyo jana Zelensky alifanya mazungumzo ya muda mrefu na Trump baada ya kiongozi huyo wa Marekani kukutana…