
Wanandoa mkikosana msidhuru wasiohusika | Mwananchi
Si mara ya kwanza wala ya mwisho kujadili mauaji na ukatili dhidi ya kinamama na watoto kutokana na kutoelewana katika ndoa. Japo hakuna habari nzuri, mauaji ya watoto na wanandoa yatokanayo na kutoelewana kwa wanandoa yanazidi kushamiri nchini. Mauaji ya namna hii yamekuwa matukio ya kawaida yanayoripotiwa na vyombo vyetu vya habari hata vya nje…