
Kihoro wagombea ubunge, uwakilishi vikao vikianza CCM
Dar es Salaam. Kihoro kimetawala miongoni mwa watiania walioshiriki kura za maoni za ubunge na uwakilishi katika Chama cha Mapinduzi (CCM), wakati vikao vya juu vya uteuzi vikianza. Swali kuu miongoni mwao ni iwapo walioongoza kwenye kura za maoni ndio watakaoteuliwa, au wengine wanaweza kuinuliwa na kuwa wateule kutokana na sababu mbalimbali. Kitendawili hiki kitateguliwa…