Morocco, DRC Congo biashara mapema!
LEO Agosti 17 kuna mtanange wa kukata na shoka kwenye Uwnaja wa Nyayo jijini Nairobi kati ya timu ya taifa ya Morocco na DRC Congo kwenye Kundi A ambazo zinatafuta nafasi ya kufuzu robo fainali ya Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN). Kwenye kundi hilo Kenya inaongoza ikiwa na pointi saba…