
TBL YAWEZESHA WAKULIMA WA SHAIRI MONDULI JUU KUHUSU UJUZI WA KUONGEZA NA KUBORESHA UZALISHAJI
Na Mwandishi Wetu,Monduli TANZANIA Breweries Plc (TBL), mshiriki muhimu katika mnyororo wa thamani wa kilimo nchini Tanzania, imechukua hatua madhubuti kuimarisha kilimo cha shayiri nchini kwa kukutana na wakulima wa Monduli Juu, Arusha, na kuwapatia mafunzo ya vitendo na ushauri wa kitaalamu wenye lengo la kuongeza mavuno na kuboresha ubora wa zao. Kikao hicho cha…