Camara aomba radhi mashabiki Guinea

MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya Guinea, Ismael Camara amewaomba radhi mashabiki wa timu hiyo kufuatia sare ya kufungana bao 1-1 na Algeria iliyowaondoa kwenye nafasi ya kuwania kufuzu robo fainali ya Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN). Guinea chini ya kocha Souleymane Kamara ilitangulia kupata bao kupitia kwa Camara dakika…

Read More

Padre awataka wazazi kuacha ‘kufuga’ watoto

Geita. Wazazi wametakiwa kuacha tabia ya ‘kufuga’ watoto kwa kuwapa chakula na mavazi pekee badala ya ‘kulea’ kwa kuwajengea maadili na kuwasaidia watu bora wenye uwezo wa kujisimamia na kuwa na maisha mazuri ya baadaye. Akizungumza wakati wa mahafali ya nne ya Shule ya Msingi Ave Marie iliyopo Mjini Geita, Padri wa Kanisa Katoliki Geita,…

Read More

El Mami Tetah : Stars ilituumiza kichwa

MSHAMBULIAJI wa Mauritania, El Mami Tetah amefichua kwamba licha ya kupoteza mbele ya Taifa Stars katika mechi ya kundi B, mshikamano wa kikosi chao umewawezesha kumaliza makundi wakiwa na pointi saba. Mauritania ilipoteza mechi moja, ikitoa sare moja na kushinda mbili – matokeo ambayo yameifanya ishike nafasi ya pili kwenye msimamo kabla ya mechi za…

Read More

Kitimwendo charejesha tabasamu la mtoto Hussein

Tabora. Mtoto Hussein Abdala Mkomwanzoka ni mtoto mwenye umri wa miaka 7 mkazi wa Kijiji cha Ndevelwa, Kata ya Ndevelwa Manispaa ya Tabora ambaye amekabidhiwa baiskeli ili kumuwezesha kufika shuleni na hiyo ni kwa sababu ya  ulemavu wa miguu ambao pia imekuwa sababu ya kushindwa kuhudhuria vyema masomo yake. Amesema amefarijika kupata baiskeli kwani awali…

Read More

Kassali aibuka shujaa Niger ikitolewa CHAN 2024

KIPA wa timu ya taifa ya Niger, Mahamadou Kassali amesema walipaswa kushinda dhidi ya Afrika Kusini mechi ya Kundi C kwani walipata nafasi tatu za kufunga lakini walikosa kuzitumia. Mchezo huo uliopigwa Ijumaa kwenye Uwanja wa Nelson Mandela na kumalizika kwa sare tasa umeiondoa Niger kwenye mbio za kufuzu robo fainali baada ya kukusanya pointi…

Read More

Karia: Hatuendi kulipa kisasi | Mwanaspoti

Muda mfupi baada ya kuchaguliwa kwa kishindo kuendelea kuliongoza Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), rais Wallace Karia amesema hawana muda wa kulipa kisasi. Karia akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufunga mkutano wa uchaguzi huo ambao umefanyika katika Hoteli ya Tanga Resort mjini humo amesema licha ya uongozi wake kupitia nyakati ngumu, lakini hawatalipa…

Read More

Zawadi kwenye paketi za vyakula hatari kwa watoto

Dar es Salaam. Wakati matumizi ya bidhaa za vyakula vya kwenye paketi vinavyouzwa pamoja na zawadi ndogo, hasa kwa watoto yakiongezeka nchini, wataalamu wa afya wanaonya wakitaka uwepo umakini kwa watumiaji, kwani zawadi hizo zinaweza kusababisha madhara ya kiafya na kijamii. Zawadi hizo mara nyingi ni bidhaa za kuchezea au vifaa vidogo vya plastiki (kama…

Read More