Maelfu waomba mikopo elimu ya juu kidijitali

Unguja. Miezi miwili baada ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kuanza kutumia mfumo wa utambulisho wa barua za makazi kidijitali, tayari maombi 489,409 yameombwa kidijitali. Bodi hiyo ilianza kutumia mfumo huo Juni 15, 2025 ambapo waombaji wanatakiwa kuwasilisha barua zao za makazi kwa njia ya kidijitali. Haya yamebainishwa leo Agosti 16, 2025…

Read More

BODABODA WATAKIWA KUACHA KUHONGA, WAJIUNGE NA ELIMU YA WATU WAZIMA

Na Seif Mangwangi, Arusha MAAFISA usafirishaji wa abiria maarufu kama ‘bodaboda’, wametakiwa kukumbuka kuweka akiba kupitia mapato wanayoyapata na kujijenga zaidi kiuchumi badala ya kufanya anasa kwa kuhonga mapato hayo na mwisho kuporomoka kiuchumi. Akifungua mafunzo ya ujasiriamali, Usalama barabarani, Afya na Mazingira kwa waendesha bodaboda jana Agosti 15,2025 jijini Arusha, Mkuu wa Wilaya ya…

Read More

Mahakama yakataa shauri la mwanahabari aliyeutaka urais TFF

Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, leo, Jumamosi, Agosti 4, 2025 imekataa kusikiliza shauri lingine lililokuwa limefunguliwa dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) kuhusiana na uchaguzi wake mkuu. Uchaguzi Mkuu wa TFF umefanyika leo Jumamosi, Agosti 16, 2025, jijini Tanga, ambapo Wallace Karia amechaguliwa tena kuwa rais wa TFF kwa muhula…

Read More

Jeshi la Magereza latangaza ajira kwa vijana, omba hapa

Dar es Salaam. Jeshi la Magereza limetangaza nafasi za ajira kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu ya kuanzia kidato cha nne na wenye ujuzi katika fani mbalimbali kuanzia ngazi ya stashahada hadi shahada. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na Kamishna Jenerali wa Magereza, Jeremiah Katungu leo Agosti 15, 2025, vijana watakaokidhi vigezo watapaswa kuomba kupitia…

Read More

CHAN 2024: Afrika Kusini yalia na VAR

TIMU ya taifa ya Afrika Kusini ‘Bafana Bafana’ imebidi kusubiri mechi za mwisho za kundi C baada kutoka suluhu dhidi ya Niger huku ikilalamikia VAR mara mbili. Huko Afrika Kusini kwa sasa mjadala ni namna ambavyo teknolojia hiyo ilivyowatibulia ushindi wa pili – matokeo ambayo yameifanya kuwa na pointi tano sawa wa Algeria inayoshika nafasi…

Read More

FIFA yaipigia chapuo Mnyanjani soka la vijana

RAIS wa TFF Wallace Karia amesema Uwanja wa Kituo cha Ufundi cha TFF, uliopo Mnyanjani jijini Tanga, umeteuliwa na FIFA kwa lengo la kukuza vipaji vya soka la vijana. Akizungumza katika hotuba yake baada ya kuidhinishwa na wajumbe wa mkutano mkuu, Karia amesema FIFA imetoa nafasi hiyo kutokana na kuridhishwa na maendeleo yaliyopo. “Kwa furaha…

Read More