
Anayewania Ujumbe Kamati ya Uchaguzi TFF, ajiondoa
Wakati Uchaguzi Mkuu wa TFF ukiendelea jijini Tanga, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa shirikisho hilo anayewania Kanda Namba Tatu, Evance Gerald Mgeusa amejiondoa kuwania nafasi hiyo. Mgeusa alikuwa akigombea nafasi ya Utendaji wa TFF Kanda Namba Tatu, inayohusisha mikoa ya Iringa, Mbeya, Njombe, Ruvuma na Songea. Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi TFF, Wakili Kiomoni…