
Tiwa Savage Aweka Masharti Ya Mwanaume Anayemtaka – Global Publishers
Last updated Aug 15, 2025 Muimbaji maarufu wa Nigeria, Tiwa Savage, ameibuka tena mtandaoni akizungumza wazi kuhusu maisha yake ya mapenzi na mwanaume anayemtaka kushirikiana naye maisha. Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo mbalimbali vya burudani, Tiwa amesema bado anatafuta mwanaume wa kudumu, lakini ameeleza masharti yake ya kipekee. Miongoni mwa…