50 mbaroni wakituhumiwa kuchoma hifadhi, kufanya vurugu

Geita. Watu 50 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Geita kwa tuhuma za kuchoma hifadhi ya msitu na kufanya vurugu. Katika taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Agosti 15, 2025 na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Adam Maro imeeleza watu hao wanadaiwa kuwashambulia maofisa misitu wanne, kuharibu mali mbalimbali za ofisi ikiwemo kuchomamoto pikipiki moja…

Read More

Vijana wapewa mbinu kupambana na ukosefu wa ajira

Bunda. Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa,  Ismail Ussi amewataka vijana kujitokeza na kutumia fursa ya mikopo isiyokuwa na riba inayotolewa na halmashauri ili kutatua changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana nchini. Ussi ametoa wito huo leo Ijumaa Agosti 15, 2025 mjini Bunda baada ya kukagua na kuzindua mradi wa Umoja wa…

Read More

Hoteli ya Snow cape yateketea kwa moto Rombo

Rombo. Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza vyumba nane vya kulala wageni katika Hoteli ya Snow Cape, iliyopo eneo la Nalemuru katika Hifadhi ya Msitu North Kilimanjaro Rongai, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro. Hoteli hiyo ambayo ipo mpakani mwa Kenya na Tanzania imeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo, Agosti 25 na hakuna  madhara ya…

Read More

Safari urais wa Mpina yakutana na vihunzi

Dar es Salaam. Safari ya mwanasiasa Luhaga Mpina kuwania urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo, imeanza kuwekewa vizingiti baada ya mmoja wa makada wa chama hicho kuandika barua ya kupinga uamuzi wa mkutano mkuu maalumu uliompendekeza kuwania nafasi hiyo. Pingamizi hilo limeandikwa na wanachama huyo, akidai uteuzi wa Mpina kuwania nafasi hiyo, umekiuka kifungu cha…

Read More

Hofu yazidi uokoaji ukiendelea mgodini Shinyanga, waliokolewa wafikia watano

Shinyanga. Hofu na wasiwasi vimezidi kuongezeka wakati shughuli za uokoaji zikiendelea kwenye mgodi wa wa Chapakazi wilayani Shinyanga, ili kuwapata mafundi 18 walionasa ardhini kwa siku ya tano. Mwananchi lilishudia uopoaji wa miili ya walionasa katika mgodi huo shughuli iliyokuwa ikifanywa na vyombo vya ulinzi kwa kushirikiana na wananchi, huku viongozi wa Serikali ya Wilaya…

Read More

Self microfinance kuwatoa watanzania kwenye mikopo ya kausha damu

Taasisi ya Self Microfinance Fund (Self Fund) imeeleza mikakati ya kuwafikia Watanzania wengi zaidi wenye kipato cha chini wanaojishughulisha na uzalishaji mali ili kuwawezesha kujiongezea kipato na kupunguza umaskini. Taasisi hiyo ya serikali chini ya Wizara ya Fedha ilianzishwa mwaka 2015, imeeleza pia nia yake ya kusaidia kupunguza changamoto za mikopo inayotolewa kiholela kwenye jamii…

Read More