
Majimbo kivumbi na jasho uwakilishi Zanzibar
Unguja. Wakati kesho, Agosti 4, 2025, watiania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakitarajiwa kupigiwa kura za maoni, majimbo haya yatakuwa na kivumbi na jasho kwenye nafasi za uwakilishi visiwani Zanzibar. Kura za maoni hizo zitahitimisha siku nne za hekaheka na mshikemshike wa watiania hao kufanya kampeni za kujitambulisha na kuomba kura kwa wajumbe katika maeneo…