
AFISA UGAVI WILAYA AIPONGEZA SHULE YA SIMAGOO, AAHIDI MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO
Songea, Ruvuma – Agosti 15, 2025 Mkuu wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi Wilaya ya Songea Raymond Aloyce, ameipongeza Shule ya Awali na Msingi Simagoo kwa mafanikio makubwa katika sekta ya elimu, wakati wa mahafali ya nane ya elimu ya awali na ya nne kwa darasa la saba yaliyofanyika leo Agosti 15. Akihutubia mgeni rasmi…