Kiungo Sudan asaka fursa chan 2024

KIUNGO wa timu ya taifa ya Sudan, Abdul Raouf amesema mashindano ya CHAN kwa upande wake ni fursa ya kuonekana na vigogo wa timu za Afrika. Nyota huyo, kwenye mechi iliyopita dhidi ya Nigeria, alifunga mabao mawili kwenye ushindi wa 4-0, mechi iliyopigwa Uwanja wa New Amaan visiwani Zanzibar. Raouf alisema mbali ya kuchukulia fursa…

Read More

RAIS WA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA UONGOZI WA AL MADRASAT SWIFAT NABAWIYATIL MSOLOPA IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mwalimu Mkuu wa Al Madrasat Swifat Nabawiyatil Karimah (Msolopa) Zanzibar. Ustadh Mohammed Salum, baada ya kumaliza mazungumzo na Uongozi huo na (kulia kwa Rais) Mlezi wa Jumuiya ya Zawiya Kadiria Tanzania Sayyid Othman Abdulkadir Othman RAIS wa Zanzibar…

Read More

Piga Bao na Bet Builder Kutoka Meridianbet

WAPENZI wa michezo ya ubashiri, Meridianbet inawapa fursa ya kipekee ya kufanya mechi zako za mpira wa miguu ziwe za kusisimua zaidi na Bet Builder. Iwe ni kabla ya mechi au wakati wa mchezo (live), sasa unaweza kuchanganya chaguo nyingi ndani ya mechi moja na kupata odds za kipekee ambazo zitakuletea ushindi wa maana. Tumia…

Read More

80% YA WANANCHI KUTUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA IFIKAPO 2034

KURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, Shamimu Mwariko amesema kwa jitihada zinazoendelea kuchukuliwa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024-2034) ni dhahiri kwamba lengo la 80% ya wananchi kutumia nishati hiyo litafikiwa ifikapo Mwaka 2034. Amesema hayo Agosti 15, 2025 wakati…

Read More

Unaanzaje Msimu Bila Jamvi Meridianbet?

HATIMAYE ile ngijea ya muda mrefu imefika tamati kwani Ligi mbalimbali Duniani zinarejea leo baada ya siku takribani 81 kusimama. EPL, LALIGA, LIGUE 1 na zingine tayari zipo kwaajili yako. Nafasi hii hapa. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa. Tukianza na ligi pendwa Duniani yaani EPL, bingwa mtetezi Liverpool atakuwa nyumbani pale Anfield kukiwasha…

Read More

Aliyeimba No reforms no election, kuzikwa kesho Songea

Dar es Salaam. Mtunzi na mwimbaji wa nyimbo za hamasa za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), George Mwingira aliyetamba na wimbo wa ‘No reforms no election’, anatarajiwa kuzikwa kesho Jumamosi Agosti 16, 2025. Mwingira maarufu ‘MC Mwingira’ alikutwa na umauti huo baada basi alilokuwa akisafiria kupata ajali maeneo ya Mikumi mkoani Morogoro, Jumapili Agosti…

Read More

MGOMBEA NCCR MAGEUZI AJITOKEZA KUCHUKUA FOMU ZA UTEUZI

Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha National Convention for Construction and Reform – Mageuzi (NCCR-MAGEUZI), Mhe. Haji Ambar Khamis akiwa na Mgombea Mwenza, Mhe. Dkt. Eveline Wilbard Munisi wakionesha begi la fomu za uteuzi baada ya kukabidhiwa na Tume leo Agosti 15,2025. Mwenyekiti wa Tume…

Read More

Trump kukutana na Putin leo, kujadili vita Russia-Ukraine

Dar es Salaam. Rais wa Marekani Donald Trump na mwenzake wa Russia, Vladimir Putin, wamatarajia kukutana leo huko Alaska katika mkutano wa kihistoria wa majadiliano ya vita imayoendelea kati ya Russia na Ukraine. Mkutano huo utakuwa mjini Anchorage, Alaska saa 5:30 asubuhi kwa saa za huko (saa 11:30 jioni EAT). Trump amesema anaamini Putin anataka…

Read More