
SWAUMU WA UDP ACHUKUA FOMU INEC KUWANIA KITI CHA RAIS KATIKA UCHAGUZI MKUU 2025
Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha United Democratic Party (UDP), Mhe. Saum Hussein Rashid akiwa na Mgombea Mwenza, Mhe. Juma Khamis Faki (kushoto) wakionesha beki la fomu za uteuzi walililokabidhiwa na Tume. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya…