
Azam, Yanga walimaliza kiaina sakata la Ninju
BAADA ya sintofahamu juu ya usajili wa kiungo Nizar Abubakar ‘Ninju’ kutoka JKU ya Zanzibar akijiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka mitatu, huku Azam FC ikiibuka na kudai ni mali yao, mabosi wa klabu hizo wamekutana na kulimaliza na ni rasmi sasa mchezaji huyo atacheza Jangwani. Imeelezwa kuwa Agosti 6, 2024 Azam ilimpa kijana…