Wasauzi wamwashia taa ya kijani Maema Simba 

MAMELODI Sundowns ya Afrika Kusini, imetangaza rasmi, kuondoka kwa kiungo  mshambuliaji wa kikosi hicho, Neo Maema. Matajiri hao wa Sauzi, wamemuaga kiungo huyo leo Ijumaa, baada ya kuitumikia klabu hiyo miaka minne kwa mafanikio. Hatua ya Maema kupewa ‘Thank you’ ni kama inawashwa taa ya kijani kwa kiungo huyo kutua Simba. Maema ndani ya Mamelodi…

Read More

Wagosi wamrejesha Makambo JR | Mwanaspoti

UONGOZI wa Coastal Union uko katika mazungumzo ya kumsajili aliyekuwa nyota wa Mtibwa Sugar FC na Mashujaa FC, Athumani Masumbuko ‘Makambo Jr’, baada ya mshambuliaji huyo kudaiwa hayupo tayari kuchezea SC Viktoria 06 Griesheim ya Ujerumani. Nyota huyo alijiunga na 1.FCA Darmstadt Julai 25, 2024 kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Mashujaa aliyojiunga nayo msimu…

Read More

Wasauzi wamwashia taa kijani Maema Simba 

MAMELODI Sundowns ya Afrika Kusini, imetangaza rasmi, kuondoka kwa kiungo  mshambuliaji wa kikosi hicho, Neo Maema. Matajiri hao wa Sauzi, wamemuaga kiungo huyo leo Ijumaa, baada ya kuitumikia klabu hiyo miaka minne kwa mafanikio. Hatua ya Maema kupewa ‘Thank you’ ni kama inawashwa taa ya kijani kwa kiungo huyo kutua Simba. Maema ndani ya Mamelodi…

Read More

DR Congo yaiong’oa Angola CHAN 2024

KIPIGO  cha mabao 2-0 kutoka kwa DR Congo katika pambano la Kundi A la michuano ya CHAN 2024 umeing’oa Angola katika michuano hiyo ikiungana na Nigeria, Afrika ya Kati na Zambia. DR Congo ilipata ushindi huo kwenye Uwanja wa Nyayo, Nairobi, Kenya katika pambano kali, huku washindi wakipata mabao dakika 45 za pili. Angola iliyokuwa…

Read More

Simba Mwanza wanataka jambo moja tu

BAADA ya kusota na kutaniwa kwa misimu minne mfululizo bila makombe, wanachama wa Simba mkoani Mwanza wamesema msimu ujao ni mwisho wa dhihaka zote na wanataka jambo moja tu, ambalo ni ubingwa wa Ligi Kuu Bara. Simba imeendelea kuambulia patupu na kuwa mnyonge mbele ya mtani wake, Yanga ambayo imetwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara…

Read More

Waziri JR arejea Dodoma Jiji

ALIYEKUWA mshambuliaji nyota wa Dodoma Jiji, Waziri Junior Shentembo amerejea tena katika timu hiyo baada ya kuondoka kikosini Februari 7, 2025 na kujiunga na kikosi cha Al-Minaa SC kinachoshiriki Ligi Kuu ya Iraq kwa mkopo wa miezi sita. Nyota huyo alijiunga na Dodoma Jiji kwa mkataba wa miaka miwili, akitokea KMC FC, ingawa ameitumikia kwa…

Read More

Wacongo, Gambia waipa jeuri Mbeya City

WAKATI Mbeya City ikiingia rasmi kambini leo Ijumaa kwa maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu, uongozi wa timu hiyo umetambia usajili uliofanywa ukieleza matarajio ni kumaliza nafasi saba za juu. City iliyorejea Ligi Kuu baada ya kukosekana kwa misimu miwili, imefunga kikosi kwa wachezaji 27 wakiwamo wa kimataifa, Kelvin Kingu na Jeremiah Nkoromon (DR…

Read More

Wasauz wamwashia taa kijani Maema Simba 

MAMELODI Sundowns ya Afrika Kusini, imetangaza rasmi, kuondoka kwa kiungo  mshambuliaji wa kikosi hicho, Neo Maema. Matajiri hao wa Sauzi, wamemuaga kiungo huyo leo Ijumaa, baada ya kuitumikia klabu hiyo miaka minne kwa mafanikio. Hatua ya Maema kupewa ‘Thank you’ ni kama inawashwa taa ya kijani kwa kiungo huyo kutua Simba. Maema ndani ya Mamelodi…

Read More

Kuishi bila ndoa katika mizani ya Uislamu

Dar es Salaam. Uelewa wa Kiislamu katika nafsi ya Muislamu hauwezi kuwa sahihi wala kamili mpaka apime kila jambo analokutana nalo katika maisha yake, liwe dogo au kubwa, kwa kutumia mizani ya Uislamu. Hii ndiyo mizani ya kweli ambayo imejali sana nafsi ya mwanadamu na imeishughulikia kwa ujuzi na maarifa ya Mjuzi wa siri zake…

Read More

Mkuu wa UNRWA – Maswala ya Ulimwenguni

Vifo hivi vya vijana ni “wa hivi karibuni katika vita dhidi ya watoto na utoto huko Gaza,” Philippe Lazzarini, mkuu wa shirika la wakimbizi la UN Palestina Unrwaalisema ndani Tweet Jumatano. Ushuru huo pia ni pamoja na wavulana na wasichana wapatao 40,000 walioripotiwa kuuawa au kujeruhiwa kwa sababu ya bomu na ndege, angalau watoto 17,000…

Read More