
Mama Ntilie Yafurahia Ujio wa Meridianbet
KAMA ilivyo kawaida leo hii wakali wa ubashiri wamewatembelea wafanyabiashara wa vyakula wadogo wadogo kwa jina maarufu Mama Ntilie na kuwapatia Aprons ambazo kwa namna moja au nyingine zitawasaidia kwenye suala lao la upikaji wa vyakula. Jumatano ya leo Kampuni kubwa ya ubashiri Meridianbet, iliamua kufunga safari moja kwa moja na kuelekea mpaka Mwenge msafara…