
EQUITY BANK YAZINDUA ‘SHULE MKONONI’ KUBORESHA HUDUMA KWA SEKTA YA ELIMU
:::::::::: Benki ya Equity imezindua rasmi mfumo wa kidijitali unaoitwa “Shule Mkononi” (School in Your Hand), unaolenga kurahisisha upatikanaji wa taarifa muhimu kwa taasisi za elimu na kuboresha huduma kwa wateja wake. Kwa mujibu wa benki hiyo, mfumo huo utasaidia shule na vyuo kufuatilia taarifa za maendeleo ya kitaaluma ya wanafunzi, mahudhurio, na mapato ya…