
Tumejiangusha, tumeiangusha nchi CHAN | Mwanaspoti
KWA sasa hapa kijiweni tunaona hadi aibu kuzungumzia fainali za CHAN 2024 maana Watanzania tumeamua kuiangusha nchi yetu kwa kutojitokeza viwanjani kutazama mechi. CAF walipotupa vituo viwili vya mashindano hayo kwa maana ya Dar es Salaam kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa na New Amaan Complex kwa Zanzibar walikuwa na sababu moja ya msingi. Sababu hiyo…