
RC ARUSHA AITA WANANCHI KUCHANGAMKIA FURSA MBIO ZA MERU FOREST ADVENTURE RACE 2025
Na Pamela Mollel,Arusha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Kenani Laban Kihongosi, ametoa wito kwa wananchi wa Arusha na wageni mbalimbali kujitokeza kwa wingi kushiriki na kutumia fursa zinazopatikana kupitia mashindano ya Meru Forest Adventure Race 2025. Akizindua msimu wa tatu wa mashindano hayo yanayotarajiwa kufanyika katika hifadhi ya Napuru, eneo la utalii wa ikolojia…