
Baraza aanza na kipa, atoa sababu
BAADA ya kutua Pamba kuchukua mikoba ya Fred Felix ‘Minziro’, Mkenya Francis Baraza ameutaka uongozi wa klabu hiyo kuhakikisha wanambakiza kipa namba moja wa timu hiyo, Yona Amos. Baraza aliyeingia makubaliano ya mwaka mmoja kuinoa Pamba, alitambulishwa rasmi juzi Julai 30, 2025, katika ofisi za halmashauri ya Jiji la Mwanza. Baraza aliyewahi kuzinoa Dodoma Jiji,…