
Samia atoa ahadi nono, akiweka historia nishani ya CISM Afrika
RAIS Samia Suluhu Hassan ameweka historia ya kuwa kiongozi mwanamke wa kwanza na Afrika kutunukiwa nishani ya heshima ya juu ya Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM), akiahidi kuendelea kutoa kipaumbele katika kuboresha miundombinu ya michezo. Mbali na nishani hiyo ya juu ya heshima, Rais Samia pia alitunukiwa tuzo ya uanachama wa heshima ya…