
Askari wanafunzi 10 kati ya 14 waliopata ajali kuendelea na matibabu Shule ya Polisi, Moshi
Hai. Askari wanafunzi 10 kati ya 14 wa Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi, mkoani Kilimanjaro waliopata ajali ya gari wameruhusiwa kuendelea na matibabu katika hospitali ya Polisi iliyopo shuleni hapo baada ya afya zao kuimarika. Wanafunzi (kuruta) wengine wanne wanaendelea na matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya Hai, mkoani hapa huku mmoja aliyepata rufaa …