
JK AHUDHURIA MKUTANO WA KWANZA WA UWEKEZAJI WA MAJI AFRIKA JIJINI CAPE TOWN, AFRIKA KUSINI
Na mwandishi Maalumu Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, yupo Cape Town, Afrika Kusini, akihudhuria Mkutano wa Kwanza wa Uwekezaji wa Maji Afrika. Tukio hili la kihistoria limeandaliwa chini ya uongozi wa Umoja wa Afrika (AU), Jopo la Ngazi ya Juu la Uwekezaji wa Maji…