
Andrew Chamungu atua Namungo FC
ALIYEKUWA mshambuliaji wa Songea United, Andrew Chamungu amekamilisha usajili wa kujiunga na Namungo, huku nyota huyo akipewa mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele cha kuongeza mwingine. Chamungu aliyewahi kutamba na timu mbalimbali zikiwamo za, Polisi Tanzania, Mbuni na Kitayosce ambayo kwa sasa ni Tabora United, amekamilisha dili hilo la kujiunga na kikosi hicho na sasa…