Mwenge wa Uhuru kuzindua miradi ya Sh26.5 bilioni Mara

Musoma. Zaidi ya miradi 68 ya maendeleo yenye thamani ya Sh26.54 bilioni inatarajiwa kutembelewa, kukaguliwa na kuzinduliwa na Mwenge wa Uhuru mwaka huu mkoani Mara, kuanzia Agosti 15 hadi 23, 2025. Akizungumza leo Jumatano, Agosti 13, 2025, Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi amesema maandalizi yote yamekamilika na mwenge huo utapita katika halmashauri…

Read More

‘Sasisho jipya la ya ChatGPT linafikiria zaidi’

Dar es Salaam. Kampuni ya teknolojia ya OpenAI, inayomiliki programu ya akili unde Chatbot ya ChatGPT imekuja na sasisho jipya (New Update) lenye kipengele chenye uwezo wa kufikiri pia kufanya vitendo kwa niaba ya mtumiaji.  Kupitia toleo hilo jipya watumiaji sasa wanaweza kuitegemea katika kufikiri na kuchukua hatua ikiwa ni sehemu ya kusaidia watu sehemu…

Read More

TIRA NA CRDB KUNEEMESHA SEKTA YA KILIMO

:::::::::: Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) na Benki ya CRDB zakubaliana kukamilisha uandaaji wa Kanuni za Bima ya Kilimo pamoja na kuwajengea uwezo wataalamu wanaohusika katika kuendesha bima hizo nchini ili kuleta neema na mustakabali mzuri wa sekta ya kilimo.  Hayo yameafikiwa Agosti 11, 2025 kwenye Kikao maalumu baina ya Kamishna wa Bima…

Read More

Mavunde: Tunataka Tanzania iwe kitovu bidhaa za migodini

Serikali imesema inajipanga kuwa kitovu cha utengenezaji wa bidhaa na huduma migodini kwa nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara kwa kuvutia uwekezaji. Hayo yameelezwa leo Jumatano, Agosti 13, 2025 na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ambaye amesema hatua hiyo inalenga bidhaa na huduma hizo kwenye migodi ya ndani na nje ya nchi. Waziri Mavunde…

Read More

MKUTANO WA SADC WAFANYWA KWA NJIA YA MTANDAO

:::::: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania . Dkt. Philip Mpango amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliyofanyika kwa njia…

Read More

Serikali kuanzisha mfuko wa ruzuku kunusuru NGO

Dodoma. Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, imepanga kuanzisha mfuko wa ruzuku kwa mashirika yasiyo ya kiserikali ili kuyasaidia kuondokana na tatizo la ukosefu wa fedha za kuendeshea miradi yao. Hayo yameelezwa leo Jumatano Agosti 13,2025 na Waziri wa mwenye dhamana, Dk Doroth Gwajima wakati akizungumza katika wiki ya…

Read More

SADC NA MAREKANI KUANZISHA JUKWAA LA MAJADILIA

::::::; Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki kikao cha awali cha maafisa waandamizi cha Jukwaa la Majadiliano kati ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Serikali ya Marekani kilichofanyika Antananarivo, Madagascar Agosti 13, 2025. Akitoa neno la…

Read More