
Dk Masinde: Mv New Mwanza meli ya kipekee ukanda wa Afrika Mashariki
Mwanza. Kamisheni ya Ziwa Victoria (LVBC), imesema ujenzi wa meli mpya ya MV New Mwanza ‘Hapa Kazi Tu’ na maboresho ya miundombinu ya bandari jijini Mwanza ni hatua itakayobadilisha sura ya usafirishaji na biashara katika Ziwa Victoria, huku ikifungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa kimaeneo. Kauli hiyo imetolewa leo Jumatano, Agosti 13, 2025, jijini Mwanza…