
Mkakati kuwawezesha bodaboda Dar wazinduliwa
Dar es Salaam. Shirikisho la vyama vya waendesha bodaboda Dar es Salaam (Maupida), wameweka mikakati inayolenga kuinua maisha ya watoa huduma hao wa usafiri kupitia mikopo nafuu, uwezeshaji wa mitaji na miradi ya makazi. Mipango hiyo itakamilika baada ya kupatiwa cheti cha uwakala wa kukatisha leseni za Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhi (Latra) kwa…