
Kilichotokea madai ya mwili unaodaiwa kuzuiwa hospitali Arusha
Arusha. Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru imetoa ufafanuzi wa madai ya mwili wa kijana aliyefariki kutokana na ajali ya pikipiki kuzuiliwa kwa kushindwa kulipa gharama za matibabu ya Sh910,000. Kaimu Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo, Dk Kipapi Milambo amesema madai hayo hayana ukweli na kwamba mwili haukuzuiliwa, bali kulikuwa na…