Aliyempinga Mpina afukuzwa ACT Wazalendo
Dar es Salaam. Chama cha ACT Wazalendo kimemvua uanachama kada wake Monalisa Ndala ambaye hivi karibuni aliibuka kupinga uteuzi wa mgombea urais wa chama hicho Luhaga Mpina. Monalisa amevuliwa uanachama na Kikao cha Kamati ya Uongozi wa chama hicho tawi la Mafifi, kilichofanyika Agosti 28, 2025 Kata ya Kihesa, Manispaa ya Iringa. Kwa mujibu wa…