
DP WAIBUKA NA SERA YA KUBORESHA KANUNI ZA KIKOKOTOO ENDAPO WATAPATA RIDHAA YA KUONGOZA NCHI
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma MGOMBEA Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Siasa cha Democratic Party (DP),Abdul Mluya,amesema endapo chama hicho kitapata nafasi ya kuongoza Nchi moja ya kipaumbele chao ni kwenda kusimamia suala la Kikokotoo. Mluya ambaye aliambatana na mgombea mwenza Saodun Abraham Khatibu ameyazungumza hayo mbele ya waandishi wa habari mara baada ya…