
SERIKALI ITAENDELEA KUFUNGUA FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA: MHE. UMMY NDERIANANGA
Na; Mwandishi Wetu – Dodoma Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga amesema kuwa Serikali itaendelea kuongeza fursa za ajira kwa vijana na kuweka mazingira wezeshi ili waweze kushiriki katika shughuli mbalimbali za ujenzi wa Taifa. Mhe. Ummy Nderiananga amesema hayo wakati wa akihitimisha maadhimisho ya siku ya vijana…