MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. SAMIA AONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA FEDHA ZA KAMPENI

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan akiongoza viongozi, wanachama, wapenzi, wakereketwa wa CCM na Watanzania wapenda maendeleo katika harambee ya kuchangisha fedha, iliyolenga kukusanya kiasi cha shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya kampeni za CCM za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025,hafla hiyo inaendelea katika…

Read More

WADAU WAKUTANA KUJADILI UHIFADHI WA BONDE LA MTO KILOMBERO

Farida Mangube, Morogoro Wadau wa uhifadhi na maendeleo katika Bonde la Mto Kilombero wamekutana kujadili changamoto na fursa zilizopo katika kulinda ikolojia ya bonde hilo, huku wakitafuta mbinu za pamoja za kuhakikisha maendeleo na uhifadhi vinakwenda sambamba. Mkutano huo umeandaliwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro kwa ufadhili wa Shirika la African Wildlife…

Read More

DKT. EGBERT MKOKO: BLOGU ZISITUMIKE VIBAYA UCHAGUZI MKUU

Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM – Mhadhiri wa Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma (SJMC), Dkt. Egbert Mkoko, amewataka waendeshaji wa blogu nchini kuepuka kuzitumia vibaya katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Akizungumza katika mafunzo maalumu ya bloga yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa…

Read More

UKOMBOZI WA KIUCHUMI NI SAFARI NDEFU, SADC YAKUMBUSHWA

Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimekumbushwa kuwa ukombozi wa kiuchumi ni safari ndefu na ili kuifikia nchi hizo zinahitaji mtangamano wenye nguvu na usioyumbishwa katika utekelezaji wa malengo waliyojiwekea.  Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara za Kimataifa wa Zimbabwe, Prof. Amon Murwira kabla ya kukabidhi uenyekiti wa…

Read More