
Shamrashamra harambee CCM ikianza Mlimani City
Dar es Salaam. Mamia ya makada, wafuasi na mashabiki wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wamejitokeza katika ukumbi wa Mlimani City, inakofanyika harambee ya kuchangia kampeni za uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Kati ya makada, wafuasi na washabiki hao, wapo pia wafanyabiashara mashuhuri nchini, wote wakiwa mguu sawa kushiriki harambee hiyo inayolenga kukusanya Sh100 bilioni kwa…