
RAS PWANI AANZA ZIARA MKOANI HAPA
Na Khadija Kalili , Michuzi TV Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani aanza ziara ya kikazi, asisitiza ubunifu katika miradi ya maendeleo Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Pili Mnyema, leo ameanza ziara yake ya kikazi katika Halmashauri za Mkoa wa Pwani kwa kutembelea Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha. Katika ziara hiyo, Mnyema amesisitiza umuhimu…