
Piku inavyoleta mapinduzi soko la kidijitali Tanzania
Majukwaa ya kidijitali yameleta mapinduzi makubwa katika namna biashara zinavyofanyika. Kupitia mitandao ya kijamii kama Instagram, Facebook, na WhatsApp, wafanyabiashara wanaweza kuwafikia wateja wengi kwa haraka na gharama nafuu. Badala ya kuwa na duka la kawaida linalohitaji kodi na gharama za uendeshaji, sasa mtu anaweza kuuza bidhaa au huduma akiwa nyumbani kupitia simu ya mkononi….