Airtel, Vodacom Waungana Kuboresha Miundombinu ya Mtandao, Kukuza Ujumuishaji wa Kidijitali

Johannesburg, Agosti 12, 2025 – Makampuni ya Airtel Africa na Vodacom Group yametangaza makubaliano ya kimkakati ya kushirikiana katika miundombinu ya mtandao katika masoko muhimu ikiwemo Msumbiji, Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), yakisubiri idhini kutoka kwa mamlaka husika katika kila nchi. Makubaliano haya yanatazamwa kama hatua kubwa ya mageuzi katika kukuza ujumuishaji…

Read More

MBEGU BORA ZA MALISHO MKOMBOZI WA UFUGAJI WA KISASA

Farida Mangube, Morogoro KATIKA kuendeleza kilimo na ufugaji wenye tija, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeendelea kuwa mshirika muhimu wa wakulima na wafugaji nchini kupitia tafiti zake za kisayansi zinazolenga uzalishaji wa malisho bora kwa mifugo. Katika maonesho ya Nanenane Kanda ya Mashariki yaliofanyika mkoani Morogoro, banda la SUA limevutia mamia ya wakulima,…

Read More

MGOMBEA URAIS CHAUMA ACHUKUA FOMU LEO AGOSTI 12, 2025

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) Mhe. Salum Mwalimu. Mgombea huyo alichukua fomu…

Read More