Bashiri na Meridianbet Mechi za Kufuzu Uefa Hapa

NI Jumanne tulivu kabisa ambayo imesheheni mechi kibao za kufuzu UEFA na kukupatia pesa nyingi kwa dau dogo kabisa. Nafasi ya kushinda ni kubwa sana hivyo tengeneza jamvi lako la ushindi sasa na uibuke bingwa. Qarabag FK baada ya kushinda mechi yake ya mkondo wa kwanza ugenini, leo hii atakuwa nyumbani kushikilia ushindi wake na…

Read More

Kiungo Msauzi matumaini kibao | Mwanaspoti

BAADA ya Afrika Kusini kuondoka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Guinea, kiungo wa Bafana Bafana, Thabiso Kutumela, amesema matokeo hayo yameibua matumaini makubwa baada ya mchezo wa kwanza kupata sare. Katika mechi hiyo iliyopigwa Uwanja wa Mandela, Kampala, Uganda, Afrika Kusini walimiliki mpira hadi dakika ya saba walipopata bao kupitia kwa Neo Maema,…

Read More

‘Msafara wa Chaumma usipime, wateka vijana’

Dodoma. Matarumbeta, ngoma za asili na kelele za muziki vilitawala mitaa ya Njedengwa leo, wakati mgombea urais kupitia Chaumma, Salum Mwalimu, alipowasili kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo. Eneo la Njedengwa, lilio umbali wa takriban kilomita 4.8 kutoka katikati ya jiji la Dodoma, ndiko yalipo makao makuu ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)….

Read More

694 wachaguliwa kufundisha shule za msingi

Dar es Salaam. Jumla ya walimu 694 wamechaguliwa kufundisha kwa kujitolea katika shule mbalimbali za msingi nchini, hatua inayolenga kupunguza changamoto ya uhaba wa walimu katika ngazi ya elimu ya msingi. Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imesema walimu hao walichaguliwa kutoka kwenye kundi la waombaji…

Read More

Badru amvulia kofia Kocha Taifa Stars

KOCHA wa zamani wa timu za vijana za Azam FC, Mohamed Badru amepongeza kazi kubwa inayofanywa na kocha wa Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’, pamoja na benchi lake la ufundi katika michuano ya CHAN 2024 yanayoendelea ukanda wa Afrika Mashariki. Akizungumza na Mwanaspoti, Badru alisema kiwango kilichooneshwa na Stars hadi kutinga robo fainali ni cha…

Read More

CCK YAJA NA VIPAUMBELE KWA KUWASAIDIA WATANZANIA

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jacobs Mwambegele leo tarehe 12 Agosti, 2025 amekabidhi fomu ya uteuzi kwa mgombea wa Kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano kutoka Chama cha Kijamii (CCK), David Daud Mwaijojele akiwa ameambatana na  mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais kwa tiketi…

Read More