
McCarthy amtaja Jose Mourinho Kenya
KOCHA wa Kenya, Benni McCarthy amesema ushindi wao wa kihistoria dhidi ya Morocco kwenye CHAN 2024 umetokana na mbinu alizojifunza kutoka kwa Jose Mourinho, akisisitiza kucheza pungufu ya mchezaji mmoja si kisingizio cha kupoteza kama timu ina nidhamu na mipango sahihi. Ushindi wa Kenya dhidi ya Morocco, uliifanya timu hiyo kuendelea kujikita kileleni mwa msimamo…