
5000 kuliamsha Nyerere International Marathon
WANARIADHa 5000 kutoka ndani na nje ya nchi wanatarajia kuchuana katika mbio za kimataifa za Mwalimu Julius Nyerere zinazotarajia kufanyika jijini Mbeya. Mbio hizo zinazoandaliwa na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kwa kushirikiana na ofisi ya Waziri Mkuu ni msimu wa pili kufanyika baada ya mwaka jana kurindima jijini Mwanza na sasa ni Mbeya. Akizungumza…