
Senegal, Congo Brazaville mechi ya mtego
TOFAUTI na makundi mengine yenye timu tano, hesabu za kundi D katika michuano ya CHAN 2024 zinaonekana kuwa ngumu zaidi kutokana na idadi ya timu ambazo leo Jumanne zitacheza mechi ya pili kila mmoja kusaka nafasi ya kutinga robo fainali. Kundi D linaongozwa na Senegal iliyoibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mechi ya kwanza…