
Yanga yawabakiza mabeki | Mwanaspoti
KATIKA kuhakikisha inajiandaa na msimu mpya wa Ligi ya Wanawake, inaelezwa Yanga Princess imewaongezea mikataba wachezaji wawili kuendelea nao msimu ujao. Mabeki hao ni Diana Mnally na rafiki yake wa karibu Protasia Mbunda, waliokuwa wamejiunga na Yanga Princess msimu uliopita wakitokea Gets Program. Inaelezwa nyota hao walionyesha kiwango bora msimu uliopita, hali iliyowashawishi viongozi wa…