
Mgombea urais aliyepigwa risasi Colombia, afariki dunia
Seneta Miguel Uribe Turbay alipigwa risasi kichwani wakati wa mkutano wa hadhara huko Bogota, Colombia. Taarifa za kifo cha Uribe (39) zimetolewa na mke wake, Maria Claudia, Jumatatu, 11 Agosti 2025, ambaye amesema kifo hicho kimetokana na mumewe kuvuja damu kwenye mfumo wa neva baada ya kupigwa risasi. “Alikuwa anatibiwa hapa kwenye Hospitali ya Wakfu…