SUA YAIBUKA MSHINDI WA JUMLA MAONESHO YA NANENANE KANDA YA MASHARIKI 2025
FARIDA MANGUBE,MOROGORO Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeibuka Mshindi wa Jumla na Mshindi wa Kwanza kwa upande wa Taasisi za Mafunzo na Utafiti katika kilele cha Maadhimisho ya Nanenane Kanda ya Mashariki yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, Morogoro mwaka 2025. Katika mashindano hayo, SUA pia kupitia Ndaki ya Kampasi ya Mizengo…