BUSUNGU WA ADA-TADEA ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS

 Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Tanzania Democratic Alliance (TADEA), Mhe. Georges Gabriel Bussungu. Mgombea huyo waaliambatana…

Read More

CCM Kuanza Harambee ya Bilioni 100 Kesho, Rais Samia Kuongoza Uzinduzi – Global Publishers

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kuwa chama chake kimepanga kukusanya Shilingi Bilioni 100 kupitia harambee ya kitaifa itakayozinduliwa rasmi kesho, saa 11 jioni, katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam. Akizungumza leo Agosti 11, 2025, na wahariri pamoja na waandishi wa habari katika Ofisi Ndogo…

Read More

Kipa Pamba awapiga mkwara Diarra, Moussa Camara

KIPA wa Pamba Jiji, Yona Amos aliyemaliza nafasi ya nne kwa makipa waliokuwa na ‘clean sheets’ nyingi baada ya Moussa Camara wa Simba, Diarra Djigui na Patrick Munthari amesema msimu wa 2025-26 ataendelea alipoishia mipango ni kuongeza namba. Kipa huyo aliyeshika namba mbili ya makipa wazawa waliofanya vizuri msimu uliopita akiwa na clean sheet 11,…

Read More

TAASISI ZA UMMA KUKUTANISHWA KUJENGA UCHUMI SHINDANI ARUSHA

:::::::: Ofisi ya Msajili wa Hazina imeandaa kikao kazi maalum kinachojulikana kama CEO Forum 2025, kwa lengo la kuimarisha mchango wa taasisi za umma katika ujenzi wa uchumi wa kisasa unaoongozwa na matokeo. Kikao hicho kinatarajiwa kufanyika kuanzia Agosti 23 hadi 26, 2025, jijini Arusha, kikihusisha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wapatao 700 kutoka…

Read More

Gamondi aona ugumu kwa Rayon CAFCC

SAA chache tangu kufanyika kwa droo ya mechi za raundi za awali za michuano ya kimataifa kwa ngazi ya klabu ikiwamo Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika kwa msimu wa 2025-2026, kocha mkuu wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi amekiri kuna ugumu kuwakabili Rayon Sports. Singida itavaana na Rayon ya Rwanda katika mechi…

Read More

Mkenya Pamba Jiji awashtukia wachezaji

KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji, Francis Baraza amewashtukia wachezaji wa timu hiyo akisema namba yao imekuwa ndogo katika wiki ya kwanza ya maandalizi ya msimu ujao wa mashindano, huku akiweka wazi hiyo inatokana na wengi wao kukimbia mazoezi magumu. Pamba Jiji imeingia wiki ya pili ya maandalizi tangu imeanza kujifua, huku Baraza akiliambia Mwanaspoti, hajaridhishwa…

Read More

15 WAINGIA FAINALI MISS UNIVERSE 2025

Usiku wa kuamkia Jumatatu ya leo August 13, 2025 shindano la Miss Universe lilifanya mchujo wa washiriki 20 kutoka kwenye washiriki 35 waliokuwa Kambini na kubaki na washiriki 15 ambao ndio watapanda jukwaa la fainali ya Miss Universe Tanzania 2025. Washiriki 15 walioingia fainali ni; Kutoka Dar es salaam 1. Celline Joseph Mollel 2. Hilda…

Read More