
Piku yazinduliwa rasmi, mmoja akijishindia vitu lukuki
Dar es Saalam. Kadri serikali inavyochukua hatua kuhakikisha kuwa utafiti na ubunifu vinakuwa chachu kuu ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii, baadhi ya wavumbuzi wa Kitanzania wameunga mkono maono hayo kwa kuzindua jukwaa jipya la kidijitali linaloitwa Piku. Jukwaa hilo la Piku ambalo lilizinduliwa rasmi Agosti 7, 2025 jijini Dar es Salaam linafanya kazi kwa…