Nani Bingwa wa LALIGA 2025/26? – Global Publishers

Last updated Aug 11, 2025 Wakali wa ubashiri Tanzania wanakwambia kuwa leo hii unaweza ukabashiri nani anaweza kuwa bingwa wa Laliga. Kila timu imepewa ODDS nzuri inayoweza kukupatia pesa za maana. Jiunge sasa na Meridianbet uanze safari yako ya ushindi hapa. Manuel Pellegrin Real Betis Seville na vijana wake wamewekwa nafasi ya 6 kuwania…

Read More

MAKAMU WA RAIS AKIHUTUBIA WAKATI WA UFUNGUZI WA MKUTANO WA MAAFISA WAANDAMIZI WA JESHI LA POLISI

………………………. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema ni muhimu Jeshi la Polisi kuimarisha ushirikiano wa karibu na wadau wote wa uchaguzi, hatua ambayo itasaidia kuhakikisha kila mdau anatendewa haki, na kuondoa tofauti zinazoweza kusababisha migongano.  Makamu wa Rais ametoa wito huo wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka…

Read More

Serikali yatoa mwelekeo, Global Fund ikipunguza msaada

Dar es Salaam. Mfuko wa Kimataifa wa Kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria, Global Fund umeelekeza Dola za Marekani 544,385,745 sawa na Sh1.35 trilioni kuja Tanzania kwa ajili ya kushughulikia magonjwa hayo kwa miaka mitatu 2024/2026. Katika kiasi hicho Sh711 bilioni zimeelekezwa kushughulikia afua za VVU/Ukimwi, Sh448 bilioni malaria huku Sh101 bilioni zikitengwa kushughulikia…

Read More

Umuhimu wa utekelezaji mkakati wa nishati safi ya kupikia

Dar es Salaam. Katika muktadha wa maendeleo ya kijamii, kiuchumi na kimazingira, nishati safi imeendelea kuwa jambo la msingi kwa Taifa lolote linalotaka kupiga hatua kuelekea maendeleo endelevu. Nchi inayokumbwa na changamoto za kiafya, mazingira na umaskini, nishati safi ya kupikia si tu hitaji la msingi, bali ni kichocheo cha maendeleo ya kweli kwa watu…

Read More

Beki Mghana kumchomoa mtu Yanga, ishu nzima ipo hivi!

KUNA pishi linapikwa pale Jangwani asikuambie mtu! Unakumbuka ile stori ya beki Mkongomani anayekipiga Sauzi ambaye Yanga inamfukuzia kuja kutimba pale kati na kina Dickson Job pamoja na Ibrahim Hamad ‘Bacca’? Basi, chama hilo unaambiwa liko katika mipango mingine kabambe ya kusika lile aeneo la ulinzi ambalo msimu uliopita kuna mechi moja lililitia aibu baada…

Read More

Kelvin John anakiwasha Denmark | Mwanaspoti

MSHAMBULIAJI wa Kitanzania, Kelvin John, anazidi kung’ara baada ya juzi kufunga mabao mawili na kuipatia ushindi timu yake AaB Fodbold ya Denmark. Msimu uliopita, timu hiyo ilimaliza mkiani mwa msimamo wa Ligi Kuu Denmark na kushushwa daraja, hivyo sasa inashiriki Ligi Daraja la Kwanza. Ligi hiyo inaendelea ikiwa tayari zimechezwa mechi nne, na mabao aliyofunga…

Read More

Kanoute asaini miwili Azam FC

ALIYEWAHI kuwa kiungo wa Simba, Sadio Kanoute muda wowote kuanzia sasa atatambulishwa kuitumikia Azam FC baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili. Kiungo huyo anajiunga na matajiri wa Dar es Salaam akiwa mchezaji huru baada ya kuachana na JS Kabylie ya Algeria ambayo aliitumikia msimu uliopita. Kanoute tayari yupo nchini na ameshafanyiwa vipimo vya afya…

Read More

Mwandishi wa Al Jazeera auawa kwenye shambulizi la Israel

Dar es Salaam. Pigo kwa tasnia ya habari duniani, baada ya mwandishi wa habari wa Al Jazeera, Anas Al-Sharif mwenye umri wa miaka 28 kuuawa kufuatia shambulizi la Israel huko Gaza. Taarifa ya Al Jazeera iliyochapishwa usiku wa kuamkia leo Jumatatu Agosti 11, 2025 inasema Al-Sharif ameuawa pamoja na wenzake wanne katika shambulio lililolengwa na…

Read More