Angola yapindua meza kibabe, ikiizima Zambia

Angola imetoka nyuma na kutengeneza ushindi muhimu mbele ya Zambia, ikishinda kwa mabao 2-1 katika mchezo wa tatu hatua ya makundi ya Fainali za Ubingwa kwa Mataifa Afrika (CHAN) 2024. Zambia iliyokuwa ikicheza mechi ya pili, iliyokuwa ya kwanza kupata bao baada ya timu hizo kumaliza dakika 45 za kwanza zikiwa hazijafungana, mfungaji akiwa Dominic…

Read More

CRDB yaja na hatifungani inayokusanya fedha kuwezesha biashara

Dar es Salaam. Benki ya CRDB imezindua CRDB Al Barakah Sukuk, hatifungani itakayokusanya fedha zitakazowezesha biashara bila riba nchini Tanzania na ukanda wa Afrika Mashariki. Hatifungani hiyo, inayofuata misingi ya Kiislamu, inalenga kukusanya Sh30 bilioni na Dola milioni 5 za Marekani (Sh12.7 bilioni), huku kukiwa na uwezekano wa kuongezeka hadi kufikia Sh40 bilioni na Dola…

Read More

Wagombea urais NLD, Makini, UPDP waanika vipaumbele vyao

Dodoma. Wagombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameendelea kuchukua fomu huku wakianika vipaumbele na mikakati ya kuwapeleka Ikulu. Leo Jumapili, Agosti 10, 2025, ilikuwa siku ya pili tangu pazia la kuchukua fomu hizo lilipofunguliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), na mpaka sasa jumla ya vyama sita vimeshachukua fomu. Wagombea…

Read More

Mahakama yafuta uamuzi uliomtia hatiani Mwabukusi

Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imebatilisha uamuzi wa Kamati ya Taifa ya Mawakili, uliomtia hatiani rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi kwa kosa la ukiukwaji wa maadili ya kitaaluma. Badala yake Mahakama hiyo katika uamuzi wake uliotolewa Agosti 7, 2025 na jopo la majaji watatu, Elizabeth Mkwizu…

Read More

ROTARY CLUB OYSTERBAY DAR ES SALAAM KUTOA MATIBABU BURE UKONGA

  Rotary Club  Oysterbay Dar es salaam ikishirikiana na wadau mbalimbali wa afya na wafadhili, wanatoa huduma  ya Matibabu bure ikiwemo upimaji,Saratani ya uzazi ,tezi dume, macho,Malaria,masikio, VVU na ushauri nasaha katika  Shule ya Msingi Mzambarauni iliyoko Ukonga Jijini Dar es salaam . Akizungumza na Waandishi Agosti 9,2025 Jijini Dar es salaam Muandaji wa Kambi…

Read More